Huu ni muendelezo wa makala iliyopita hapa tunamalizia makundi
matatu ya mwisho bora ya vyakula yakuzingatiwa
. vyakula vyenye mafuta : hivi huleta joto mwilini na pia vile vile huleta nguvu mwilini na kulina kwa kulainisha ngozi napia utando
Mfano wake ni kama karanga,nazi,ufuta,alizeti,korosho,mawese
mbegu za maboga na mbegu za pamba.
. vyakula vyenye vitamin : hili ndio kundi lililogawanyika sana kwani lina matawi mengi lakini faida yake kwa ujumla ni kwamba
husaidia kuongeza kinga ya mwili na kufanya macho yaweze kuona
Mfano wake ni kama karoti,machungwa,machensa,mananasi
. matunda na mboga mboga : hapa katika kundi la mwisho kuna matunda ambayo nayo pia yana mchango katika mwili wa binadamu kwani humuongezea mtu vitamin na madini mwilini
mfano wake ni matunda yote na mboga zote
0 Comments