Pia katika yote bado hatuja sahau umuhimu wa maji mwilini mwa binadamu . kwani kwanza kama tunavyojua kwamba maji ni uhai
hivyo bila maji hakuna maisha 
Pia  maji yana madini mbalimbali ambayo ni rafiki wa mwili wa
binadamu kwani madini hayo huweza kukata kiu ykatika mwili
pale mtu anapoyatumia .
Kitaalam tunashauriwa kutumia maji dakika thelathini/nusu saa mbele baada tu ya kumaliza kupata chakula chako kama ni muda
wa asubuhi , mchana , jioni na pia kwa wale wa usiku.
Ili kuweza kuupa muda mwili uweze kufanya mmeng"enyuo wa chakula kilicho tumboni vizuri na maji yaje kusafisha na kuondoka na uchafu wote ulioko tumboni