Hapa ninaorodhesha makundi makuu matano ya vyakula ambayo ni muhimu katika mwili wa binadamu ili kuweza kuboresha afya yake
Makundi hayo ni kama yafuatavyo
. vyakula vyenye wanga :hivi ni vyakula muhimu katika kuupa mwili nguvu za kufanya kazi mbalimbali. Mfano wake ni nafaka
kama mahindi,mchele,mtama,ngano,ulezi,uwele nakadhalika.
.vyakula vyenye protini :hivi ni vyakula ambavyo pia ni muhimu
sana katika mwili wa binadamu kwani husaidia katika ukuaji wa mwili hasa kwa watoto na pia kuongeza kinga ya mwili. Mfano
wake mbuzi,kondoo,kuku,bata,samaki nakadhalika.
0 Comments