karibu ni katika ukurasa wetu wa sopanga food ambapo utapata taarifa mbalimbali juu ya afya ya mwanadamu na namna ya kuijenga ili tuweze kuwa na muonekano unaostahili kwenye jamii.
Ili mtu aweze kuwa na muonekano mzuri wa afya yake ni lazima aweze kupata lishe bora yenye aina zote za vyakula katika mwili .

Mtu anapopata vyakula vinavyo stahili katika mwili wake huweza kuwa na afya njema kwani anakua amezingatia makundi yote ya chakula.